Baada ya kuka muda bila kumuweka maisha yake ya mahusiano hadhari hatimaye leo muigizaji wa bongo amepost picha yake akiwa na boyfriend wake.
Elizabeth Michael maarufu Lulu, empost picha kwenye ukurasa wake wa Instagram na kuandika maneno hayaBaba Na Mama Squad katika harakati za Mapozi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚haikuwa rahisi Na Yebo Yebo zangu Na kilemba…No make up๐Ÿ˜ช๐Ÿ˜ฐ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Sema Poa tu
Goodnight lovies๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹๐Ÿ’‹

Picha yenyewe halisi ndiyo hii
18